Kwanza kabisa napenda niwatakie heli ya mwaka mpya wasomaji wa blog yangu kwani ni jambo la kumshukuru sana mungu kufika mwaka 2014 kwa najuwa hakuna hata mmoja miongoni mwetu ambae alitarajia au alijuwa kuwa atafika mwaka huu 2014 ila ni mungu kwa upenda wake kwetu, tumeuona, na hata kwa wale ambao hawajauona pia tuwaombee mungu awalaze mahali pema peponi Amina.
PONGEZI KWAO
kwa viongozi wote waliowajibika ama kwa kushindwa kazi au kwa kuwaachia wengine nao wafanye kazi walizokuwa wanafanya wao katika nafasi za uongozi wa serikali au wa vyama vya michezo .
Kwa viongozi wa serikali napenda sana kuwapongeza mawaziri walioamua kujihuthuru kwa hiali yao bila kuwajibishwa baada ya kuona mambo yanakwenda ndivyo sivyo katika wizara walizokuwa wanazitumikia,
Nawapongeza sana kwani wameonyesha kuwa wamekomaa kisiasa na pia wameonyesha kuwa wanaheshimu sana wananchi waliowachagua na pia wameonyesha wanauzalendo wa kutosha.
Monday, January 27, 2014
SALAMU ZA MWAKA MPYA TOKA KWANGU
Posted by Unknown | Tagged as: MATUKIO
Related Posts:
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular Posts
My Fellow Bloggers
LIKE PAGE
utaifa kwanza
Blog Archive
-
▼
2014
(30)
-
▼
January
(8)
- U.S COACH HELPS BRING WHEELCHAIR TENNIS FOR DEVEL...
- MKENYA, KIPCHOGE KEINO! MW/KT KOC AWAFUNDA VIONGOZ...
- SALAMU ZA MWAKA MPYA TOKA KWANGU
- STAN BINGWA MPYA AUSTRALIA OPEN.
- WANARIADHA WA KENYA WAAPA KUGOMEA KUTOZWA KODI.
- FLOOD DUMILA WHO IS BLAME
- UJIO WA KIFIMBO CHA MALKIA WAWA KERO KWA VIONGOZI ...
- Let us not forget the good things of late imitatio...
-
▼
January
(8)
b2bcontactlists on CORRECT NEWSTZ BLOG
Anonymous on CORRECT NEWSTZ BLOG
Anonymous on CORRECT NEWSTZ BLOG
Anonymous on Gallery_25
Total Pageviews
13,408
Author

Yohana Mwila
0 comments: