mwaka jana kwenye mashindano ya all africa games
tanzania tulipata medali za dhahabu 2 na silver 2 na blonze
tatizo nilifanya tuonekane tulipata moja nikwa sababu vyama
vya michezo mingine ilikwenda kwa gharama zao bila kupelekwa na serikai ya tanzaia.
0 comments: