Saturday, December 27, 2014

SERIKALI IMEFUMBA MACHO KUCHAKAA KWA PANTONI LA MV KIGAMBONI

Posted by Unknown  |  Tagged as:

Hivi majuzi kivuko cha MV KIGAMBONI kiligeuka kituko baada ya kupote na kuelekea NEVI haikuwa rahisi kivuko hicho kuweza kurudi katika njia yake cjenyewe hadi kilipopata msaada wa kuongozwa na viboti vidogo vya kuongozea meli kubwa za mizigo zinazoingia na kutoka bandarini hapo.

nimefikia kuandika taarifa hii baada ya kuona kivuko hicho kikitumia mda wa saa moja kufika upande wa pili kutoka upande mwingine na siku hilipopotea kilichukuwa mda wa masaa mawili kuweza kumaliza safari na kumbuka hakikuwa bila watu na magali baali kilikuwa na magali na abiria kibao mala baada ya kufika feri ya kigamboni zilisikika sauti za abiria wakiimba kwa flaha na masikitiko wakisema hiki sio kivuko cha MV KIGAMBONI bali ni kivuko cha MV MAJANGA na huku wakiwa wameshikilia maboya ya kujisaidia pale itapotokea kuzama kwa kivuko.

serikali kinga ni bora kuliko tiba .

0 comments:

Popular Posts

Author

Yohana Mwila

Translator

Subscribe to our Mailing List

We'll never share your Email address.
Copyright © 2013 CORRECT NEWSTZ BLOG. Powered by Blogger.
Blogger Template by Bloggertheme9
+255 (784) 033-443yohanamwila@gmail.com