Thursday, April 23, 2015

boko haram group has changed name Nigeria.

Posted by Unknown  |  Tagged as:

The new image is presented on Boko Haram militants who describes being Islamic State Province in Western Africa.

This group has been loyal to the State Islamic militants last month.

Some Nigerian soldiers who were involved in the operation of the group won in the existing forest Sambisa northern east have been forced to go back because they think that goes the forest has been netting.

 Member of one group of local security set JTF has reported that one soldier and three security guards on the street were killed when their car glided over the trap.

  BOKO HARAM LABADILISHA JINA NIGERIA

Picha mpya zimetolewa kuhusu wapiganaji wa Boko Haram ambao wanajielezea kuwa Islamic State Jimbo la Magharibi mwa Afrika.

Kundi hilo limekuwa watiifu kwa wapiganaji wa Islamic State mwezi uliopita.

Baadhi ya wanajeshi wa Nigeria ambao wameshirikishwa katika oparesheni ya kulishinda kundi hilo katika msitu wa Sambisa uliopo Kazkazini mashariki wamelazimika kurudi nyuma kwa kuwa wanadhani kwamba huenda msitu huo umewekwa mitego.

Mwanachama wa kundi moja la kuweka usalama mtaani JTF amelipoti kwamba mwanajeshi mmoja na walinzi watatu wa mitaani waliuawa wakati gari lao lilipopita juu ya mtego.


0 comments:

Popular Posts

Author

Yohana Mwila

Translator

Subscribe to our Mailing List

We'll never share your Email address.
Copyright © 2013 CORRECT NEWSTZ BLOG. Powered by Blogger.
Blogger Template by Bloggertheme9
+255 (784) 033-443yohanamwila@gmail.com