Kwanza kabisa napenda niwatakie heli ya mwaka mpya wasomaji wa blog yangu kwani ni jambo la kumshukuru sana mungu kufika mwaka 2014 kwa najuwa hakuna hata mmoja miongoni mwetu ambae alitarajia au alijuwa kuwa atafika mwaka huu 2014 ila ni mungu kwa upenda wake kwetu, tumeuona, na hata kwa wale ambao hawajauona pia tuwaombee mungu awalaze mahali pema peponi Amina.
PONGEZI KWAO
kwa viongozi wote waliowajibika ama kwa kushindwa kazi au kwa kuwaachia wengine nao wafanye kazi walizokuwa wanafanya wao katika nafasi za uongozi wa serikali au wa vyama vya michezo .
Kwa viongozi wa serikali napenda sana kuwapongeza mawaziri walioamua kujihuthuru kwa hiali yao bila kuwajibishwa baada ya kuona mambo yanakwenda ndivyo sivyo katika wizara walizokuwa wanazitumikia,
Nawapongeza sana kwani wameonyesha kuwa wamekomaa kisiasa na pia wameonyesha kuwa wanaheshimu sana wananchi waliowachagua na pia wameonyesha wanauzalendo wa kutosha.
Monday, January 27, 2014
SALAMU ZA MWAKA MPYA TOKA KWANGU
Posted by Unknown |  Tagged as: MATUKIO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular Posts
-
Kwanza naomba tutambuwe michezo sio mpira wa miguu tu! Bali ni michezo yote kama Riatha, Tennis, kurusha Tufe, kurusha Kisahani, Kuo...
-
Morogoro. Major floods have occurred in the County of Dumila , Kilosa in Morogoro and causing hundreds of people homeless with River Br...
-
World ParaVolley have launched a new website – www.worldparavolley.org - which is available for use by fans of all ParaVolley disciplines ar...
-
Ujio wa kifimbo cha malkia chenye kuashiria kukalibia kuanza kwa mashindano ya Jumuia ya Madola ambayo hufanyika kila baada ya miaka 4 na...
-
Wanariadha wa Kenya wameapa kupinga mpango wa serikali wa kuwalazimisha kulipa kodi kutokana na mapato yao. Siku ya...
-
TUNDU LISSU NAYE AITWA POLISI KWA MAHOJIANO AHOJIWA KWA SAA MOJA TUNDU Lissu, Mwanasheria wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) pi...
-
Stanislas Wawrinka raia wa Uswis amefanikiwa kutwaa taji la michuano ya wazi ya Australia kwa kumchapa Mhispania Rafael Nadal katika mch...
-
Mamlaka ya mawasiliano nchini, TCRA imetoa tamko kuhusiana na malalamiko kutoka kwa watumiaji wa huduma za simu nchini kufuatia kubadilika ...
-
Arthur Ashe , in full Arthur Robert Ashe (born July 10, 1943, Richmond , Virginia , U.S.—died February 6, 1993, New york New York),...
-
GEORGE Thandiwe Ndlovu, the teammate who practiced with the deceased Zimbabwean wheelchair athlete Dorcas Hwatira (40) early this morning, ...
My Fellow Bloggers
LIKE PAGE
utaifa kwanza
Blog Archive
-
▼
2014
(30)
-
▼
January
(8)
- U.S COACH HELPS BRING WHEELCHAIR TENNIS FOR DEVEL...
- MKENYA, KIPCHOGE KEINO! MW/KT KOC AWAFUNDA VIONGOZ...
- SALAMU ZA MWAKA MPYA TOKA KWANGU
- STAN BINGWA MPYA AUSTRALIA OPEN.
- WANARIADHA WA KENYA WAAPA KUGOMEA KUTOZWA KODI.
- FLOOD DUMILA WHO IS BLAME
- UJIO WA KIFIMBO CHA MALKIA WAWA KERO KWA VIONGOZI ...
- Let us not forget the good things of late imitatio...
-
▼
January
(8)
Total Pageviews
Author

Yohana Mwila
0 comments: